Maombi ya Maua Sama, Sudi Kadio, Shaffih Dauda na wengine wanne kupata dhamana, kuamuliwa Septemba 24, 2018
Kesi hiyo namba 13 ya mwaka 2018 itasikilizwa Jumatatu Septemba 24, 2018
katika Mahakama ya Hakimu Mkaizi Kisutu mbele ya Hakimu Huruma Shaidi
Mbali na Msanii Maua Sama, Watangazaji Sudi Kadio(Soudy Brown) na Shaffih Dauda wengine ni Mshehereshaji Anthony Luvanda, Mpiga picha Michael Mlingwa(MxCarter), Fadhili Kondo na Benedict Kadege
Maua Sama na Sudi Kadio wanadaiwa kushikiliwa kwa kosa la kudhalilisha fedha ya Tanzania kwa kuirusha juu na kuikanyaga
Wengine wanashikiliwa wakidaiwa kumiliki na kuendesha chaneli za YouTube ambazo hazijasajiliwa na TCRA
Mbali na Msanii Maua Sama, Watangazaji Sudi Kadio(Soudy Brown) na Shaffih Dauda wengine ni Mshehereshaji Anthony Luvanda, Mpiga picha Michael Mlingwa(MxCarter), Fadhili Kondo na Benedict Kadege
Maua Sama na Sudi Kadio wanadaiwa kushikiliwa kwa kosa la kudhalilisha fedha ya Tanzania kwa kuirusha juu na kuikanyaga
Wengine wanashikiliwa wakidaiwa kumiliki na kuendesha chaneli za YouTube ambazo hazijasajiliwa na TCRA
Maombi ya Maua Sama, Sudi Kadio, Shaffih Dauda na wengine wanne kupata dhamana, kuamuliwa Septemba 24, 2018
Reviewed by Unknown
on
00:23
Rating:
No comments: